Ufafanuzi msingi wa tasa katika Kiswahili

: tasa1tasa2tasa3tasa4tasa5tasa6

tasa1

nominoPlural tasa

 • 1

  kiumbe yoyote wa kike asiyeweza kuzaa.

  ‘Ng’ombe tasa’

Matamshi

tasa

/tasa/

Ufafanuzi msingi wa tasa katika Kiswahili

: tasa1tasa2tasa3tasa4tasa5tasa6

tasa2

nominoPlural tasa

 • 1

  namba ambayo haiwezi kugawanyika sawa sawa kwa nambari nyingine yoyote isipokuwa yenyewe na moja k.v. 1, 3, 5, 7, 11, n.k..

Matamshi

tasa

/tasa/

Ufafanuzi msingi wa tasa katika Kiswahili

: tasa1tasa2tasa3tasa4tasa5tasa6

tasa3

kivumishi

 • 1

  -sioweza kuzaa.

Matamshi

tasa

/tasa/

Ufafanuzi msingi wa tasa katika Kiswahili

: tasa1tasa2tasa3tasa4tasa5tasa6

tasa4

nominoPlural tasa

Matamshi

tasa

/tasa/

Ufafanuzi msingi wa tasa katika Kiswahili

: tasa1tasa2tasa3tasa4tasa5tasa6

tasa5

nominoPlural tasa

 • 1

  chombo kama bakuli kinachotumika kunawishia mtu toasi.

Matamshi

tasa

/tasa/

Ufafanuzi msingi wa tasa katika Kiswahili

: tasa1tasa2tasa3tasa4tasa5tasa6

tasa6

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

Matamshi

tasa

/tasa/