Ufafanuzi wa tasawari katika Kiswahili

tasawari

kitenzi sielekezi

 • 1

  ‘Amenieleza habari lakini haitasawari’
  eleweka
  and → aminika

 • 2

  elekea katika kufana au kuwa zuri.

  ‘Leo mambo yatatasawari’

Asili

Kar

Matamshi

tasawari

/tasawari/