Ufafanuzi wa tasfida katika Kiswahili

tasfida, tasifida

nominoPlural tasfida

Fasihi
  • 1

    Fasihi
    matumizi ya maneno ya adabu au fiche yasiyoibua hisia mbaya kueleza dhana ambazo maneno yanayoziwakilisha hukera watu yasemwapo k.v. kusema jisaidia badala ya kunya, aga dunia badala ya kufa, jifungua badala ya zaa, tupu ya mbele badala ya mboo au kuma.

    usafidi, tauria

Asili

Kaj

Matamshi

tasfida

/tasfida/