Ufafanuzi wa tashkota katika Kiswahili

tashkota

nominoPlural tashkota

  • 1

    chombo cha muziki chenye nyuzi na virekebishio vyenye sauti mbalimbali ambavyo hubonyezwa na nyuzi kukerezwa ili kutoa muziki.

    mandalina

Matamshi

tashkota

/ta∫kɔta/