Ufafanuzi wa tasihili katika Kiswahili

tasihili

kielezi

  • 1

    kwa haraka.

    ‘Fanya tasihili’
    upesi

Asili

Kar

Matamshi

tasihili

/tasihili/