Ufafanuzi wa tasinifu katika Kiswahili

tasinifu, tasnifu

nominoPlural tasinifu

  • 1

    maandiko ya kitaaluma yanayochanganua mada maalumu, agh. kwa ajili ya kupata shahada ya juu.

Asili

Kar

Matamshi

tasinifu

/tasinifu/