Ufafanuzi msingi wa taslimu katika Kiswahili

: taslimu1taslimu2

taslimu1

nominoPlural taslimu

  • 1

    malipo kwa kutumia pesa yenyewe badala ya hundi.

Asili

Kar

Matamshi

taslimu

/taslimu/

Ufafanuzi msingi wa taslimu katika Kiswahili

: taslimu1taslimu2

taslimu2

kivumishi

  • 1

    -liotimia.

    ‘Fedha taslimu’

Asili

Kar

Matamshi

taslimu

/taslimu/