Ufafanuzi wa tasliti katika Kiswahili

tasliti, tasiliti

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    chongea au fitini watu ili wakosane.

  • 2

Asili

Kar

Matamshi

tasliti

/tasliti/