Ufafanuzi wa tasua katika Kiswahili

tasua

kitenzi elekezi~ka, ~lia, ~liana, ~liwa

  • 1

    fumbua tambo iliyofumbika.

    tanzua, fasili

  • 2

    sema wazi; sema kinagaubaga.

Matamshi

tasua

/tasuwa/