Ufafanuzi wa taswira katika Kiswahili

taswira

nominoPlural taswira

  • 1

    picha ya mambo au vitu inayomjia mtu akilini mwake.

    maono, jazanda

  • 2

    mchoro, sanamu

Asili

Kar

Matamshi

taswira

/taswira/