Ufafanuzi msingi wa tata katika Kiswahili

: tata1tata2

tata1

kitenzi sielekezi

 • 1

  ingia mafundo k.v. uzi.

  ‘Uzi umetata’

Matamshi

tata

/tata/

Ufafanuzi msingi wa tata katika Kiswahili

: tata1tata2

tata2

nomino

 • 1

  fundo katika uzi.

  ‘Uzi umeingia tata’

 • 2

  hali ya kutoeleweka, kufumbwa au kufungwafungwa, kuwa na maana zaidi ya moja.

  ‘Sentensi hii ni tata’

Matamshi

tata

/tata/