Ufafanuzi msingi wa tathmini katika Kiswahili

: tathmini1tathmini2

tathmini1

kitenzi elekezi

  • 1

    angalia kitu kwa undani kisha kadiria bei au ubora wake.

    ‘Nyumba hii imetathminiwa kuwa shilingi milioni tano’
    ‘Tunatakiwa tutathmini mradi wetu’

Asili

Kar

Matamshi

tathmini

/taθmini/

Ufafanuzi msingi wa tathmini katika Kiswahili

: tathmini1tathmini2

tathmini2

nomino

  • 1

    utafutaji au utoaji wa thamani ya kitu.

Asili

Kar

Matamshi

tathmini

/taθmini/