Ufafanuzi wa taulo katika Kiswahili

taulo

nomino

  • 1

    kipande cha nguo chenye mayavuyavu kinachotumiwa kufutia mwili baada ya kuoga.

Asili

Kng

Matamshi

taulo

/tawulÉ”/