Ufafanuzi wa tausi katika Kiswahili

tausi

nominoPlural tausi

  • 1

    ndege mwenye madoa ya rangi mbalimbali k.v. buluu na kijani, ambapo dume lina mkia mpana na mrefu ambao huuchanua na kuufunga.

Asili

Kar

Matamshi

tausi

/tawusi/