Ufafanuzi msingi wa tawafu katika Kiswahili

: tawafu1tawafu2

tawafu1

nomino

Kidini
  • 1

    Kidini
    mzunguko wa kitu k.v. Kaaba wakati Waislamu wakifanya ibada ya Hija au Umra.

Asili

Kar

Matamshi

tawafu

/tawafu/

Ufafanuzi msingi wa tawafu katika Kiswahili

: tawafu1tawafu2

tawafu2

kitenzi sielekezi

Kidini
  • 1

    Kidini
    kufa kwa heshima.

Asili

Kar

Matamshi

tawafu

/tawafu/