Ufafanuzi wa tawakali katika Kiswahili

tawakali

kitenzi sielekezi

Kidini
  • 1

    Kidini
    kuwa na mategemeo kwa Mwenyezi Mungu, hasa baada ya kufanya jambo.

Asili

Kar

Matamshi

tawakali

/tawakali/