Ufafanuzi wa tawanyika katika Kiswahili

tawanyika

kitenzi sielekezi~ia

  • 1

    vunja mkusanyiko na kaa mbalimbali.

    sanzuka, fumukana

  • 2

    sambaratika, vurugika

Matamshi

tawanyika

/tawaɲika/