Ufafanuzi wa tawi katika Kiswahili

tawi

nominoPlural matawi

 • 1

  sehemu ya mti inayoota kutoka shinani, agh. hutoa majani na matunda.

  tamviri, tagaa, utanzu, utamviri

 • 2

  sehemu au ofisi ndogo ya chama, shirika, n.k..

  ‘Tawi la Chama cha Ushirika’
  tanzu

Asili

Kar

Matamshi

tawi

/tawi/