Ufafanuzi msingi wa taya katika Kiswahili

: taya1taya2taya3

taya1

nomino

 • 1

  fupa la kinywani linaloota meno.

Matamshi

taya

/taja/

Ufafanuzi msingi wa taya katika Kiswahili

: taya1taya2taya3

taya2

nomino

Kibaharia
 • 1

  Kibaharia
  kipande cha kitambaa kilichokatwa kwa urefu ambacho hutumiwa kushonea tanga.

  fatika

Matamshi

taya

/taja/

Ufafanuzi msingi wa taya katika Kiswahili

: taya1taya2taya3

taya3

kitenzi elekezi

 • 1

  tolea maneno makali.

  tukana, shambulia, sibabi, subu, tusi

Matamshi

taya

/taja/