Ufafanuzi wa tebo katika Kiswahili

tebo

nominoPlural tebo

  • 1

    orodha ya hesabu za kuzidisha.

  • 2

    jedwali

Asili

Kng

Matamshi

tebo

/tɛbɔ/