Ufafanuzi wa tege katika Kiswahili

tege

kivumishi

  • 1

    -enye kupinda kwa nje, hasa kwa miguu.

Matamshi

tege

/tɛgɛ/