Ufafanuzi wa tegemeo katika Kiswahili

tegemeo

nominoPlural mategemeo

  • 1

    tumaini la kupata kitu au mahitaji kutoka kwa mtu, kitu, jambo au kazi.

  • 2

    matarajio

Matamshi

tegemeo

/tɛgɛmɛɔ/