Ufafanuzi wa tegua katika Kiswahili

tegua

kitenzi elekezi~ka, ~lia, ~liana, ~lisha, ~liwa

 • 1

  fanya mtego au bomu lisifanye kazi.

 • 2

  ondoa chombo k.v. chungu jikoni.

  epua

 • 3

  fanya kiungo cha mwili kifyatuke au kitetereke.

Matamshi

tegua

/tɛguwa/