Ufafanuzi wa tehemu katika Kiswahili

tehemu

kitenzi elekezi~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa

  • 1

    shusha hadhi ya mtu.

    aibisha, fedhehesha, fedhehi, adhiri, dhili, tweza, dunisha, umbua, hizi

  • 2

    ingia haya.

Matamshi

tehemu

/tɛhɛmu/