Ufafanuzi wa Teka nyara katika Kiswahili

Teka nyara

nahau

  • 1

    chukua watu au vitu kwa nguvu kwa makusudio ya kulipwa fidia au kutimiziwa haja fulani.

Ufafanuzi wa teka nyara katika Kiswahili

teka nyara

nahau

  • 1

    chukua kitu au mtu kwa nguvu.