Ufafanuzi msingi wa tekenya katika Kiswahili

: tekenya1tekenya2

tekenya1

kitenzi elekezi

  • 1

    shika au papasa kwa utaratibu ili kutia ashiki.

    nyegeza, nyegeresha

Matamshi

tekenya

/tɛkɛɲa/

Ufafanuzi msingi wa tekenya katika Kiswahili

: tekenya1tekenya2

tekenya2

nomino

Matamshi

tekenya

/tɛkɛɲa/