Ufafanuzi wa teknolojia katika Kiswahili

teknolojia

nominoPlural teknolojia

  • 1

    maarifa ya sayansi yaliyowekwa katika matumizi ya vitu k.v. zana au mitambo katika k.v. kiwanda, kilimo, ufundi au mawasiliano.

Asili

Kng

Matamshi

teknolojia

/tɛknɔlɔʄija/