Ufafanuzi wa teksi katika Kiswahili

teksi

nominoPlural teksi

  • 1

    gari la kukodi.

  • 2

    chombo cha usafiri wa umma k.v. bodaboda au pikipiki, ambacho hukodishwa.

Asili

Kng

Matamshi

teksi

/tɛksi/