Ufafanuzi wa telekevu katika Kiswahili

telekevu

kivumishi

  • 1

    -enye kusikia na kutii.

    -tiifu

Matamshi

telekevu

/tɛlɛkɛvu/