Ufafanuzi wa televisheni katika Kiswahili

televisheni

nominoPlural televisheni

  • 1

    chombo kinachonasa picha, sauti na maandishi kutoka kituo cha kurushia matangazo na kuvionyesha pamoja na kutoa sauti iliyonaswa.

    runinga

  • 2

    mfumo wa utangazaji kwa kurusha picha na sauti hewani.

Asili

Kng

Matamshi

televisheni

/tɛlɛvi∫ɛni/