Ufafanuzi wa teli katika Kiswahili

teli

nominoPlural teli

  • 1

    uzi au ugwe wa rangi ya dhahabu au fedha, agh. hutumiwa kufanyia zari.

Asili

Kaj

Matamshi

teli

/tɛli/