Ufafanuzi wa telki katika Kiswahili

telki

nominoPlural telki

  • 1

    mwendo wa kasi wa farasi au punda.

    ‘Enda telki’

Asili

Khi

Matamshi

telki

/tɛlki/