Ufafanuzi msingi wa tembe katika Kiswahili

: tembe1tembe2tembe3

tembe1

nominoPlural tembe

 • 1

  kuku anayekaribia kutaga kwa mara ya kwanza.

  mtetea

Matamshi

tembe

/tɛmbɛ/

Ufafanuzi msingi wa tembe katika Kiswahili

: tembe1tembe2tembe3

tembe2

nominoPlural tembe

 • 1

  nyumba ya udongo na fupi ambayo ina paa kama dari iliyotengenezwa kwa udongo.

Matamshi

tembe

/tɛmbɛ/

Ufafanuzi msingi wa tembe katika Kiswahili

: tembe1tembe2tembe3

tembe3

nominoPlural tembe

 • 1

  kidonge k.v. cha dawa.

  ‘Tembe ya aspirini’

Matamshi

tembe

/tɛmbɛ/