Ufafanuzi wa tembea katika Kiswahili

tembea

kitenzi sielekezi

  • 1

    enda

  • 2

    fanya zinaa.

Matamshi

tembea

/tɛmbɛja/