Ufafanuzi wa tembelea katika Kiswahili

tembelea

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~wa

  • 1

    fika nyumbani au ofisini kwa mtu kwa madhumuni ya kumsalimu; enda mahali kwa matembezi.

    ajihi, zuru

Matamshi

tembelea

/tɛmbɛlɛja/