Ufafanuzi wa temea katika Kiswahili

temea

kitenzi elekezi

  • 1

    toa kitu k.v. mate toka mdomoni na kukirusha kwenye kitu au mwili wa kiumbe kwa ulimi.

Matamshi

temea

/tɛmɛja/