Ufafanuzi msingi wa tende katika Kiswahili

: tende1tende2

tende1

nominoPlural tende, Plural matende

  • 1

    tunda la mtende lenye nyama tamu na kokwa ngumu.

Matamshi

tende

/tɛndɛ/

Ufafanuzi msingi wa tende katika Kiswahili

: tende1tende2

tende2 , matende

nominoPlural tende, Plural matende

  • 1

    ugonjwa wa kuvimba mguu, miguu au sehemu nyingine ya mwili ambao huambukizwa na mbu aitwaye kuleksi.

Matamshi

tende

/tɛndɛ/