Ufafanuzi wa tendegu katika Kiswahili

tendegu, tendeguu

nomino

  • 1

    mguu wa kitanda.

Matamshi

tendegu

/tɛndɛgu/