Ufafanuzi wa tendeka katika Kiswahili

tendeka

kitenzi sielekezi~ea

  • 1

    kwisha kufanyika kwa jambo au kitendo fulani.

    jiri, wa

Matamshi

tendeka

/tɛndɛka/