Ufafanuzi wa tendesa katika Kiswahili

tendesa

kitenzi sielekezi

  • 1

    pita mpaka; zidi mno.

    ‘Huyu kwa kupenda bao ametendesa’

Matamshi

tendesa

/tɛndɛsa/