Ufafanuzi wa tendeti katika Kiswahili

tendeti

nominoPlural tendeti

  • 1

    andazi dogo linalotengenezwa kwa unga wa ngano au mchele na sukari na kutoswa kwenye tui la nazi.

Matamshi

tendeti

/tɛndɛti/