Ufafanuzi wa tendua katika Kiswahili

tendua

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya jambo liweze kurudia katika hali yake ya awali.

Matamshi

tendua

/tɛnduwa/