Ufafanuzi wa tengana katika Kiswahili

tengana

kitenzi sielekezi

  • 1

    kubaliana kuishi mbalimbali kwa kushindwa kuelewana.

  • 2

    farakana, tofautiana

Matamshi

tengana

/tɛngana/