Ufafanuzi wa tenge katika Kiswahili

tenge

kielezi

  • 1

    bila ya kuwa sawa.

    ‘Mambo yamekwenda tenge’
    kombo

Matamshi

tenge

/tɛngɛ/