Ufafanuzi wa tengo katika Kiswahili

tengo

nominoPlural matengo

  • 1

    ubao unaofungwa pambizoni mwa ngalawa ili kuifanya na mizani sawa.

    mrengu

Matamshi

tengo

/tɛngɔ/