Ufafanuzi wa tengua katika Kiswahili

tengua

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~liana, ~liwa, ~lisha

 • 1

  vunja kanuni au maafikiano.

  ‘Tengua ndoa’
  ‘Tengua sheria’
  ‘Tengua udhu’
  batilisha

 • 2

  fanya kitu kifyatuke au kiondoke mahali pake.

  tekua

Matamshi

tengua

/tɛnguwa/