Ufafanuzi wa tenisi katika Kiswahili

tenisi

nominoPlural tenisi

  • 1

    mchezo wa watu wawili au wanne wanaocheza kwa wakati mmoja katika kiwanja kidogo kilichofungwa wavu katikati na wachezaji hutumia aina ya vibao maalumu vilivyotandwa nyuzi, agh. za kano, na huvitumia kwa kupigiana mpira mdogo.

Asili

Kng

Matamshi

tenisi

/tɛnisi/

nominoPlural tenisi

  • 1

    mpira wa kuchezea mchezo huo.

Matamshi

tenisi

/tɛnisi/