Ufafanuzi wa tepo katika Kiswahili

tepo

nomino

  • 1

    hali ya kujiona bora kuliko wengine.

    majivuno, maringo, ndweo

Matamshi

tepo

/tɛpɔ/