Ufafanuzi msingi wa tepu katika Kiswahili

: tepu1tepu2tepu3

tepu1

nominoPlural tepu

  • 1

    ukanda wa kuhifadhi sauti au picha.

Matamshi

tepu

/tɛpu/

Ufafanuzi msingi wa tepu katika Kiswahili

: tepu1tepu2tepu3

tepu2

nominoPlural tepu

  • 1

    ukanda wa kufunika waya za umeme.

Asili

Kng

Matamshi

tepu

/tɛpu/

Ufafanuzi msingi wa tepu katika Kiswahili

: tepu1tepu2tepu3

tepu3

kitenzi elekezi

  • 1

    kitendo cha kutumia tepurekoda kunasa mawimbi ya sauti.

Matamshi

tepu

/tɛpu/