Ufafanuzi wa tepua katika Kiswahili

tepua

kitenzi sielekezi~ka, ~lia, ~sha

  • 1

    vunja nguvu.

    nyong’onyeza

Asili

Kng

Matamshi

tepua

/tɛpuwa/